Sherehe ya Kumuaga Sister Beatrice Simon Kapinga, OSB kwa kuchaguliwa kuwa Mama Mkubwa wa Shirika la Masista wa Benedictine - Songea. Sherehe hii ilifanywa na Mkurugenzi wa Shule za St. Dominic Savio na Cagliero, Kamati ya Shule, Wafanyakazi wote pamoja w
Kumbukumbu ya maeneo mbalimbali yaliyotumika katika shughuli za biashara ya utumwa kama Ngome Kongwe (Old Fort), House of Wonder, Forozani (Night Market), Katikati ya Mji (Jaws Centre), French - Catholic Church, Anglican Church, Freddie Mercury nk.